Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, NIDA, inatarajia kufanya zoezi la usajili wa majaribio katika Falme ya Uingereza kwa muda wa siku tatu. Usajili huu utahusisha raia wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wenye umri wa miaka 18 na kuendelea.
Tarehe za zoezi: 4 hadi 6 Juni, 2023.
Muda: Zoezi litafunguliwa saa 4:00 asubuhi na kufungwa saa 10:00 jioni kwa siku zote tatu.
Mahali: Ofisi za Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,
(Tanzania House), 3 Stratford Place, London W1 C AS.

Kwa maelezo zaidi namna ya kujisajili, soma taarifa zote hapa chini.

Open chat
Habari! Is there anything we can help?
Our team is ready to assist you and we'd be happy to learn how we can help?