Wapendwa wana Jumuiya ya TZUK Diaspora,
Tunawakaribisha katika Mkutano mkuu wa Jumuiya ya TZUK Diaspora utakaofanyika Leicester, UK
Tarehe: 4 Julai 2026
Address: Holiday Inn Leicester Wigston, 297-299 Leicester Road, Wigston, Leicester, LE18 1JW
Mida: AGM – 06:00 Mchana – 11:00 Jioni (12pm – 5pm), Chakula & burudani ya muziki – 01:00 – 05:00 Usiku (7pm – 11pm)
Kiingilio kwa wasio wanachama wa TZUK ni £30 kwa kichwa.
Kujaza form ni muhimu kwa wanachama na wasio wanachama, mwanachama ambaye hatoweza kuhudhuria tunaomba pia ujaze fomu, kuna kipengele cha RSVP, itatusaidia kufahamu idadi ya members watakaohudhuria/wasiohudhuria.
Tafadhali fanya hima ujaze fomu hii mapema.
Mawasiliano
TEL: +447882790380 | Email : communication@tzuk.org.uk