Pocket Money Fund

Madhumuni

Huu ni mfuko wenye lengo la kuboresha maisha ya mwanajumiya wa TZUK ya kila siku hususani kiafya mfano, kukabiliana na msongo, lishe bora kwa ajili ya kuzuia magonjwa lakini pia kiuchumi mfano, uwezo wa kulipia makazi bora, kupata mapumziko, kuitunza familia kupitia uwekezaji katika hisa na kadhalika.

Pocket Money Fund ni kwa wale tu watakaopendelea kujiunga na sio lazima kwa kila TZUK member

Please weka details zako kwa registration form hapa jina, maelezo zaidi yatafuata kwa wale tu watakaojiunga

Open chat
Habari! Is there anything we can help?
Our team is ready to assist you and we'd be happy to learn how we can help?