Usajili Mkutano mkuu (AGM) – TZUK Diaspora utakaofanyika tarehe 4 Julai 2026,Leicester, UK

  Wapendwa wana Jumuiya ya TZUK Diaspora, Tunawakaribisha katika Mkutano mkuu wa Jumuiya ya TZUK Diaspora utakaofanyika Leicester, UK Tarehe: 4 Julai 2026 Address: Holiday Inn Leicester Wigston, 297-299 Leicester Road, Wigston, Leicester, LE18 1JW Mida: AGM – 06:00 Mchana – 11:00 Jioni (12pm – 5pm), Chakula & burudani ya muziki – 01:00 – 05:00 […]

Usajili Mkutano mkuu (AGM) – TZUK Diaspora utakaofanyika tarehe 4 Julai 2026,Leicester, UK Read More »

Shukrani TZUK Diaspora Community – Msiba wa Dada Mary Stella Kivali

Tunawashukuru marafiki, kamati ya watanzania waishio Langley -UK, wanajumuiya na watanzania wote waishio Uingereza kwa kuhudhuria na kufanikisha safari ya mwisho ya mwanajumuiya mwenzetu Dada MARY STELLA KIVALI. TZUK Community tuko pamoja siku zote iwe ni katika majonzi au katika furaha, pumzika kwa amani Dada MARY STELLA KIVALI. More Video / Pictures

Shukrani TZUK Diaspora Community – Msiba wa Dada Mary Stella Kivali Read More »