Tunawashukuru marafiki, kamati ya watanzania waishio Langley -UK, wanajumuiya na watanzania wote waishio Uingereza kwa kuhudhuria na kufanikisha safari ya mwisho ya mwanajumuiya mwenzetu Dada MARY STELLA KIVALI. TZUK Community tuko pamoja siku zote iwe ni katika majonzi au katika furaha, pumzika kwa amani Dada MARY STELLA KIVALI.

More Video / Pictures