Wapendwa wana Jumuiya ya TZUK Diaspora,

Tunawakaribisha katika Mkutano mkuu wa Jumuiya ya TZUK Diaspora utakaofanyika Marriott Hotel, Timbold Drive, Kents Hill Park, Milton Keynes, MK7 6HL

Tarehe: 24 Juni 2023

Mida: AGM – 06:00 Mchana – 11:00 Jioni (12pm – 5pm), Chakula & burudani ya muziki – 01:00 – 06:00 Usiku (7pm – Midnight)

Kiingilio kwa wasio wanachama wa TZUK ni £30 kwa kichwa.

Usajili kwa ajili ya mkutano mkuu (AGM 2023) wa Jumuiya ya TZUK Diaspora, umefunguliwa rasmi na link muhimu zipo hapa chini. Kuna usajili kwa ajili ya mkutano pamoja na wale ambao watapendelea malazi katika hotel ya Marriott.

Angalizo – Unaweza ku-book hotel/Airbnb zilizopo karibu na sehemu ya mkutano.

Kujaza form ni muhimu kwa wanachama na wasio wanachama, mwanachama ambaye hatoweza kuhudhuria tunaomba pia ujaze fomu, kuna kipengele cha RSVP, itatusaidia kufahamu idadi ya members watakaohudhuria/wasiohudhuria.

Kwa wazazi wale ambao watakuja na watoto tunaomba pia ujaze form ya watoto.

Tafadhali fanya hima ujaze fomu hizi mapema.

Hotel ipo dakika chache kutokea M1, Junction 13 & 14

Hotel ina free parking

Mawasiliano ya DELTA HOTELS BY MARRIOTT
TEL: 44 (0) 1908 694433 / DD: 44 (0) 1908 354621, Email : charlie@deltamiltonkeynes.com

Open chat
Habari! Is there anything we can help?
Our team is ready to assist you and we'd be happy to learn how we can help?