Membership

Strengthening the UK-Tanzanian Community relationship is crucial, and your participation is necessary to achieve this.

Establishing a Tanzanian Diaspora Community for future generations is reliant on your support and participation.

To Join us, please email tzukhazina@tzuk.org.uk , thereafter, complete the form below after receiving the reference number.

Member Subscription

A member shall pay entry fees £5 and an annual subscription fee £120 in three different periods: 1st May 1st October or Direct debit monthly to the organisation as set and specified in bylaws. Annual membership runs from May 1st to April.

Eligibility

Membership shall be open but not limited to persons of Tanzanian heritage by birth, adoption, marriage or naturalization, and for anyone with Tanzania origin or descent, residing principally in the UK.
Where a candidate applies for membership, he or she shall agree to abide by the local community involved if belongs to one, and TZUK Diaspora Community constitution, bylaws and code of conduct.

Types of Membership

 1. Individual/Communities/Associations Membership It shall be open to individuals and local Tanzanian communities/associations and its members, which form this organisation in the UK.
 2. Associate/Affiliated Membership An associate member is a person that was a TZUK member when residing in the UK but is now residing elsewhere and still holds to the activities of the Diaspora and the organisation. This membership category has limited benefit as clarified in the bylaws.
 3. Corporate Membership It shall be Open to companies or organisations that support and sponsor TZUK.
 4. Honorary Membership, The Executive Committee may for such a period as it thinks fit elect a person as an honorary member of the Executive Committee and the organisation on the account of his or her distinction and eminence. The person should have rendered distinguished service to the community and can assist the organisation in promoting its objectives while ensuring that no conflict of interest exists.

Faida za Kuwa Mwanachama

 1. Watoto wako wanne walio chini ya umri wa miaka 18, wako ndani ya mwamvuli wa TZUK BIMA (Insurance).
 2. Wazazi wako wawili (Baba na Mama) wote wako ndani ya mwamvuli wa uhai wa uanachama wako. Angalizo, kama ni mlezi/ walezi kuwe na uthibitisho wa ulezi wao kwako (legal guardian/document).
 3. Mke/Mme wako yuko chini ya mwamvuli wa TZUK BIMA, kwa sasa ikitokea amefariki unapata mafao ya £1000 toka mfuko wa jumuiya na kama ukijiunga na mfuko wa Welfare Fund utapata mafao kutoka hapo pia, kiasi kitategemea na idadi ya wanachama wa mfuko kwa wakati huo kwa sasa ni zaidi ya £1500. Ila mwenzio kama si mwanachama hafaidiki na TZUK BIMA, mfano wazazi wake hawawezi kuwa chini ya mwamvuli wako, bahati mbaya mwenzio akifariki TZUK BIMA haihusiki n.k.
 4. Ndugu wa familia moja, ikatokea mzazi amefariki, nyie Watoto ambao ni wanachama hai mnapewa kila mmoja fao lake kulingana na sehemu yake, ama kama mtoto wenu akifariki wote mnapata mafao kutoka kwenye mfuko wa jumuiya, na kama mlijiunga Welfare Fund mtapewa pia ndani ya masaa kumi na mbili (12hrs).
 5. Ukipenda unaruhusiwa kujiunga na kufaidika na Mfuko wa Ustawi (Welfare Fund) kwa kuweka akiba ya £50 tu. Unapo tokea uhitaji/ dharura ya msiba (ticket n.k) utapewa mafao yako ndani ya masaa kumi na mbili (12hrs).
 6. Kama ikitokea bahati mbaya ukafariki, jumuiya kupitia TZUK BIMA inalipia gharama za mazishi ama kusafirisha mwili, gharama ambazo kwa sasa zilikadiriwa kuwa £3000/=.
 7. Utakuwa na haki ya kununua hisa kwenye biashara yoyote ya jumuiya.
 8. Utakuwa na haki ya kupewa/bid zabuni yoyote itakayo tokea ya jumuiya kama una kidhi.
 9. Utakuwa na haki ya kutoa mawazo na yakasikilizwa na kufanyiwa kazi
 10. Pia kupata nafasi ya kukutana, kufahamiana, kushiriki katika Upendo, Amani na umoja wa familia yetu ya TZUK.
 11. Ukiwa mwanachama hai una kuwa na haki ya kupewa msaada wa kulipia nauli ya ticket ya ndege kwa njia ya ulipaji nafuu ama mkopo kwa kupitia mfuko unaoitwa ‘Usafiri Fund’.
 12. Kujumuika na jamii – kila mwaka tunakuwa na matukio makubwa Zaidi ya mawili yanayo tukutanisha pamoja na kama mwanachama hai unayo haki ya kuhudhuria bure ama kwa kuchangia kiasi kidogo.
 13. Kama mwana chama hai unayo nafasi ya kutangaza shughuli yako ya kibiashara
 14. Nafasi ya kufahamiana na wengine (Networking) na kupeana taarifa mbalimbali mfano za kimaendeleo.
 15. Kushiriki katika shughuli za kujitolea za jumuiya na kusaidia wahitaji mbalmbali hasa walio nyumbani, chini ya charity yetu iitwayo ‘umoja Charity’.
Open chat
Habari! Is there anything we can help?
Our team is ready to assist you and we'd be happy to learn how we can help?