Post

Tanzania Launches Diaspora Digital Hub System

Tanzania Launches Online Diaspora Registration Portal The Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation invites all Tanzanian Diaspora to register in the Diaspora Digital Hub System (DDH). DDH intends to register and connect Tanzanian Diaspora with different Service Providers, Stakeholders and Opportunities available in the United Republic of Tanzania.

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Nida, zoezi la usajili wa majaribio katika Falme ya Uingereza, tarehe 4-6 Juni 2023.

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, NIDA, inatarajia kufanya zoezi la usajili wa majaribio katika Falme ya Uingereza kwa muda wa siku tatu. Usajili huu utahusisha raia wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wenye umri wa miaka 18 na kuendelea.Tarehe za zoezi: 4 hadi 6 Juni, 2023.Muda: Zoezi litafunguliwa saa 4:00 asubuhi na kufungwa saa 10:00 …

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Nida, zoezi la usajili wa majaribio katika Falme ya Uingereza, tarehe 4-6 Juni 2023. Read More »

Usajili Mkutano mkuu (AGM) – TZUK Diaspora utakaofanyika Marriott Hotel, tarehe 24 June 2023, Milton Keynes, UK

Wapendwa wana Jumuiya ya TZUK Diaspora, Tunawakaribisha katika Mkutano mkuu wa Jumuiya ya TZUK Diaspora utakaofanyika Marriott Hotel, Timbold Drive, Kents Hill Park, Milton Keynes, MK7 6HL Tarehe: 24 Juni 2023 Mida: AGM – 06:00 Mchana – 11:00 Jioni (12pm – 5pm), Chakula & burudani ya muziki – 01:00 – 06:00 Usiku (7pm – Midnight) …

Usajili Mkutano mkuu (AGM) – TZUK Diaspora utakaofanyika Marriott Hotel, tarehe 24 June 2023, Milton Keynes, UK Read More »

Tanzania President launches Africa’s Food System Forum 2023

Dr. Samia Suluhu Hassan, President of Tanzania officially launched Africa’s Food System Forum 2023. The Africa Food Systems Forum will take place from September 5th-8th 2023 in Dar es Salaam Tanzania, with a pre-summit event scheduled for September 4th 2023.  Launch. The summit will bring together a diverse group of stakeholders, including leaders, policymakers, scientists, heads of …

Tanzania President launches Africa’s Food System Forum 2023 Read More »

Shukrani TZUK Diaspora Community – Msiba wa Dada Lydia Hiza

Tunawashukuru marafiki, kamati ya watanzania waishio Leeds-UK, wanajumuiya na watanzania wote waishio Uingereza kwa kuhudhuria na kufanikisha safari ya mwisho ya mwanajumuiya mwenzetu Dada Lydia Hiza. TZUK Community tuko pamoja siku zote iwe ni katika majonzi au katika furaha, pumzika kwa amani Dada Lydia Hiza.

Open chat
Habari! Is there anything we can help?
Our team is ready to assist you and we'd be happy to learn how we can help?